Image
Image

Tamasha la 22 la Jazz lamalizika Istanbul.


Tamasha la muziki wa Jazz ambalo lilikuwa limeandaliwa jijini Istanbul nchini Uturuki limemalizika kwa kutumbizwa maonesho mawili ambayo yaliandaliwa katika ukumbi wa Unig Open Air.
Kwa kumalizia tamasha hilo kuliandaliwa Jumatano tamasha 3 ili kuwaaga wapenzi wa muziki huo.
Mkali wa tarumbeta kutoka Marekani anaefahamika kwa jina la Theo Croker alifungua tamasha hilo la kuanga kwa kutoa burudani fika ya tarumbeta.
Hiatus Kaiyotes kutoka Australia akifuatwa na mwanamuziki machachari kutoka Uingereza pia walitumbwiza.
Zaidi ya tamasha 30 ziliandaliwa nchini Uturuki chini ya udhamini wa Garanti Bank tangu Juni 27.
AA
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment