Ziara hiyo
itaanza rasmi siku
ya Jumamosi na kumalizika
Jumapili.
Ubalozi wa Marekani nchini Kenya umesema
kwamba Obama hatakuwa na
muda wa kwenda
Kogelo,kijiji kilichoko
kilometa 300 kaskazini
magharibi ya mji
mkuu Nairobi ambapo baba
yake alizaliwa.
Ndugu zake walioko Kenya wanasema watasafiri kwenda Nairobi kukutana naye wakati wa ziara yake ya siku mbili.
Mshauri wa
taifa wa masuala
ya usalama wa Marekani Susan Rice amesema ziara
hiyo inahusika zaidi na kongamano
la wajasiriamali duniani
litakalofanyika Nairobi siku ya
Jumamosi,na kisha atakwenda Ethiopia ambako atahutubia Umoja
wa Afrika.
0 comments:
Post a Comment