WAKULIMA wa NGANO na SHAYIRI, wilayani HAHANG mkoani
MANYARA, wameiomba serikali iwawezeshe zana za kilimo ili waweze
kuongeza uzalishaji wa mazao hayo
Wakulima hao wametoa maombi hayo mbele ya Mkuu wa mkoa wa MANYARA, DOKTA JOEL BENDERA baada ya kutembelea na kukagua mashamba ya wakulima hao.
Aidha Mkuu wa mkoa wa MANYARA, DOKTA JOEL BENDERA, amewashauri wakulima hao kuunganisha nguvu ili waweze kununua zana bora za kilimo wakati serikali ikitafuta njia ya kuwasaidia ili wafikie malengo wanayokusudia katika uzalishaji wa mazao hayo
Katika hatua nyingine DOKTA BENDERA amewaagiza pia maafisa ugani kuwatembelea na kuwashauri wakulima mkoani humo namna ya kulima kwa njia ya kisasa na hivyo kuwasaidia kujikwamua kiuchumi

0 comments:
Post a Comment