Shambulizi hilo lililenga vituo vitatu vya jeshi la Syria. Mabomu mawili yalitumika pamoja na gari moja ambalo lilitiwa bomu ndani yake.
shambulizi hilo lilisababisha idadi kubwa ya majeruhi, na waliokua mahututi walichukuliwa na kuwahishwa katika hospitali ya serikali ya Kilis kwa kupitia mlango wa mpakani wa Oncupinar.
majeruhi 2 Kati ya 5 mahututi ambao walipelekwa katika hospitali hiyo, walifariki.
kwa uplande mwingine, majeshi yanayomuunga mkono rais Al Assad yalifanya mashambulizi ya Nagano na ardhini na kuwaua raia takriban 32.
0 comments:
Post a Comment