Watu 29 wameuawa nchini Nigeria kufuatia shambulizi lililofanywa na wanamgambo wa Boko Haram.
Shambulizi hilo lililenga vijiji viwili vya Waumini wa ding ya Kikristo kaskazini Mashariki mwa Nigeria.
wanamgambo hayo walilenga kuwateka nyara wanakijiji hao, na wale walioshindikana kutekwa nyara walipigwa mabomu na nyumba zao kuunguzwa moto.
Boko haram walifanya shambulizi la aina hiyo siku ya Jumapili katika mji wa Damaturu na kuua Watu 15 na kuwajeruhi wengine 50.
0 comments:
Post a Comment