Image
Image

Waziri mkuu Pinda aalikwa futari na kamati ya amani ya viongozi wa dini wa Dar es Salaam na Mwanza.



Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Kamati za Amani za mikoa ya Dar es salaam na Mwanza walioshiki katika futari iliyoandaliwa na Kamatiya Amaniya mkoa wa Dar es salaam kwenye ukumbi wa Karimjee Juni 3, 2015.

Baadhi ya washiriki wa futari iliyoandaliwa na Kamati ya Amani ya viongozi wa dini wa mkoa wa Dar es salaam kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es slaan Julai 3, 2013ambapo mgemoi rasmi alikuwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda. Viongozi wa kamati ya Amani ya mkoa wa Mwanza pia walialikwa kwenye futari hiyo.

Mke wa Waziri Mkuu , Mama Tunu Pinda wapili kulia) akizungumza na baadhi ya wnawake walioshiriki katika futari iliyoandaliwa na Kamatiya Amani ya mkoa wa Dar es salaam kwenye ukumbi wa Karimjee Juni 3, 2015. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alikuwa mgeni rasmi katika futari hiyo. Viongozi wa Kamati ya Amani ya Mkoa wa Mwanza pia walialikwa katika futari hiyo.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment