Image
Image

Abubakar Shekau,kiongozi wa wanamgambo wa Boko haramu Nijeria ajitokeza na kukana uvumi kuwa alikuwa ameuwawa.


Madai ya kufariki kwa Shekau yalianzishwa na raisi wa Chad Idriss Deby.
Shekau alijirikodi na kusambaza katika vyombo vya habari.
Idara ya upelelezi nchini Nijeria yenye  utaalamu  ilichunguza rikodi ya Shekau na wakathibitisha kwamba sauti hiyo  bila shaka ilikuwa ya Shekau.
Mwaka 2014 raisi wa Chad alikuwa akikutana na wanamgambo wa Boko haram kwa lengo la kuleta amani baina yao na serikali ya Nijeria.
Majuma mawili yaliopita, serikali ya Chad ilidai kuwauwa wanamgambo 117 wa boko haram katika visiwa vya ziwa la Chad.
Boko haramu wamewauwa zaidi ya watu 600 nchini Nijeria chini ya uongozi wa raisi Muhammadu Buhari.

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment