Mtaalamu
wa Ufatiliaji na Udhibiti wa Magonjwa kutoka Wizara ya Afya na Ustawi
wa Jamii nchini Tanzania Dkt. Vida Mmbaga amesema kuwa mgonjwa huo
amefariki dunia akiwa na dalili kadhaa za Ugonjwa wa ebola lakini bado
wanaendelea kufanya uchunguzi kwa kuwa kuna dalili nyingine hakuwa nazo.
Dkt. Mbaga amesema serikali inaendelea kuchukua hatua za kuchunguza watu wote wanaotokea nchi za Afrika Magharibi kwa kuwa ugonjwa huo bado upo lakini amewatoa hofu Wananchi kuhusu ugonjwa huo kuingia nchini.
Dkt. Mbaga ameogeza kuwa Mgonjwa huyo alikua chini ya Uangalizi maalumu ambapo alitakiwa kusafirshwa kuelekea nchini Marekani lakini bahati mbaya amefariki kabla ya kupelekwa huko.
Ameongeza kwa vipimo vimeshachukulia na kupelekewa katika hosptali ya Muhimbili kwa ajili ya uchugnuzi Zaidi na baadae Serikali itatoa majibu sahihi juu ya Ugonjwa ulipelekea kifo cha Mgonjwa huyo kama ni ebola au la.

0 comments:
Post a Comment