Taarifa ambazo zimekuwa zikizagaa zilidai kuwa Prof.Lipumba anataka kubwaga manyanga ndani ya chama hicho na ndio sababu haswa hata siku ya jana hakuweza kuonekana kwenye mkutano mkuu wa UKAWA.
Sakaya: Majadiliano yamechukua muda mrefu kuliko tulivyodhani, tunaomba radhi kwa kuchelewa na tunaahirisha press conference ya leo.
Kuna majadiliano kati ya wazee na mwenyekiti wa chama na yakikamilika na ikaonekana bado kuna haja ya kuwaita waandishi, mtaitwa.
Kuna mwandishi alipigwa na feni baada ya kusimama juu ya meza, wakati waandishi wanamuhudumia, meza ikaahirisha kikao.
Lipumba amekanusha uvumi wa kuondoka CUF na amesema yapo mambo mengi ya kuendelea kuyatafakari ndani ya chama cha CUF kwa sababu CUF ni taasisi kubwa na sio ya maamuzi ya mtu mmoja, mwenyekiti hakuruhusu kuulizwa maswali. Kuna wanachama wengi nje ya makao makuu wakisema wana imani na Lipumba, wanaimba nyimbo kadhaa.
#Mudamchache uliopita niliuliza swali kuhusu ukimya wa Profesa Lipumba katika mambo mazito ndani ya chama unaashiria Nini??.
350
0 comments:
Post a Comment