Image
Image

Bunge la ugiriki launga mkono rasimu ya kupewamkopo wa tatu wa dola 95 ili kunusuru uchumi wa nchi hiyo.

Bunge la Ugiriki baada ya mazungumzo ya usiku kucha limeunga mkono rasimu ya kupewa
mkopo wa tatu wa dola 95 ili kunusuru uchumi wa nchi hiyo katika kipindi cha miaka
mitano ijayo.
Masharti hayo ni pamoja na nyongeza kubwa ya kodi na serikali kubana matumizi.
Lengo la mikopo huo ni kuisaidia Ugiriki isifilisike hatua ambayo ingeweza kuizua nchi
hiyo kuendesha shughuli zake za kawaida.
Mapema Waziri Mkuu wa Ugiriki Bwana ALEXIS TSIPRAS alisema alikuwa ana matumaini makubwa
kwamba atawashawishi wabunge kupigia kura masharti hayo.

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment