Image
Image

Wataalam wa kemikali wapekekwa ulipo tokea mlipuko bandari ya Tiajin*Mtu mmoja aokolewa akiwa hai.

China imewapeleka wataalamu wa kemikali kwenye eneo la mji wa bandari wa Tianjin
ilikotokea milipuko mikubwa miwili na kuua watu 60 na kujeruhi wengine zaidi ya 700.
Milipuko hiyo ilitokea katika ghala la kemikali yenye sumu na vyombo vya habari
vimeeleza kuwa kuna harufu mbaya hewani na watu wamelalamikia kuumwa macho.
Wakati huo huo mtu mmoja ameokolewa hai kwenye mabaki ya ghala lililoteketezwa na moto
wa milipuko hiyo miwili.
Kuokolewa kwa mtu huyo ambaye ni mzima moto kumekuja wakati saa 36 tangu kutokea kwa
tukio hilo bado moto ulikuwa unawaka kwenye eneo hilo.


Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment