Producer na Boss wa Mavin Records Dynasty Don Jazzy amewapa ushauri
wasanii chipukizi na underground wa Afrika. Don Jazzy amesisitiza zaidi
kwenye kujitambua na kutotumia dawa za kulevya ili kutengeneza kazi bora
zaidi. Don jazzy anasema yeye ametengeneza nyimbo zilizo shika chati
zaidi ya 100 na hajawahi kuvuta bangi.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment