Image
Image

Giroud amkaribisha Benzema.


Mshambuliaji wa klbau ya Arsenal Olivia Giroud amesema anatamani klabu hiyo imsajili mshambuliaji mwenzake wa timu ya taifa Ufaransa Karim Benzema.

Giroud anaamini Benzma akitua ndani ya klabu hiyo basi safu yao ya ulinzi itatishia vilabu vingine vinavyoshiriki ligi kuu ya Uingereza kwani amekuwa akielewana naye vizuri na mshambuliaji huyo.

Benzema anayechezea klabu ya Real Madridi ya Hispania amehusishwa kusajiliwa na washika bunduki hao wa London, lakini mameneja wa vilabu hivyo vya Real Madrid – Rafael Benitez na Arsenal na Arsena Venga kila mmkoja amekanusha habari hizo.


Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment