Mourinho alimshtumu daktari huyo kwa kupoteza muda
wakati alipoenda kumtibu Mshambuliaji wake Ezen Hazard alipoumia dakika za
mwisho.
Pengine daktari huyo hakuwa sababu ya Chelsea kukosa
ushindi kwani mchezo uliofuata walifungwa 3 – 0 toka kwa Manchester City.
Chesea waliibuka na ushindi kwa mara kwanza kwenye
mchezo wa tatu na waliwafunga West Brownch magoli 3 – 2 .
Mambo hayakuwa mazuri tena kwa upande wa Chelsea
Lakini mwishoni mwa wiki baada ya kukubali kipigo cha magoli 2-1 dhidi ya
Crystal Palace kwenye mchezo wao wa nne ndani ya ligi Kuu ys Uingereza.
Sasa kutokana na matokeo hayo, kocha Mourinho
amewatupia zigo la lawama washambuliaji wake akiwemo Eden Hazard, Cesc
Fabregas, Branislav Ivanovic na Nemanja Matic kwa kuwaita wazembe.
Mourinho amewapiga biti washambuliaji hao na huku
akitishia huenda akawapunguza kwa kuwauza kabla ya dirisha la usajili
halijafungwa.
0 comments:
Post a Comment