Idara hiyo imefahamisha kuwa zaidi
ya watu 80 wamekutwa na homa ya Salmonela huku wengine 6
wakiwa wamelazwa hospitali.
Idara hiyo ilizidi kufahamisha kuwa
homa ya matumbo hiyo, utafiti umebaisha kuwa inasabishwa na ulaji wa nyama ya
nguruwe.
Utafiti uliofanywa na wataalamu wa
afya umefahamisha kuwa homa hiyo huweza kusababisha maafa kwa watoto, wazee na
watu wenye udhaifu katika seli zao muilini.
0 comments:
Post a Comment