Joto la kupita kiasi lasababisha moto katika msitu kaskazini mwa Marekani.
Moto uliotanda katika misitu iliyoko majimbo ya Washington, Oregon na Idaho yamesababisha nyumba takriban 108 kuteketea na kuwa jivu.
Majimbo ya Washinngton na Oregon yameripotiwa kuathirika zaidi,kwani nyumba 40 pekee zilichomeka huko Washington.
Watu 500,000 wameachwa bila makao katika pwani ya Chelan baada ya nyumba zao kuteketezwa na moto huo.
Baada ya vipama joto kuonyesha ongezeko la joto na wataalamu kutangaza kuendelea kuwa na joto zaidi maeneo ya British Colombima na Toronto, wakaazi wa miji hiyo wahama kawa kuhofia maisha yao.
0 comments:
Post a Comment