Mazishi ya kijana mmoja wa kipalestina yafanyanyika katika eneo la makaburi ya Tubas nchini palestina.
Refik Kamil Refik el-Tac mwenye umri wa miaka 21 aliuwawa kwa kupigwa risasi na askari wa kiisraeli.
Kijana huyo alikuwa amebeba mzigo mabegni ambapo polisi hao walimvamia na kumuua bila hatia.
Visa ya kuuwawa kwa wapalestina na askari wakiisraeli vimekuwa vingi nchini Palestina.
Katika hafla ya mazishi ya kijana huyo watu walionyesha ghadhabu waliyokuwa nayo kwa kutoa maneno ya kuahidi kulipiza kisasi.
0 comments:
Post a Comment