Mabalozi wa mashina 110 wa Chama cha Mapinduzi, Mwenyekiti, Katibu Kata, wajumbe wa kamati ya siasa ya Kata pamoja na wenyeviti wa mitaa minne katika Kata ya Monduli Mjini Mkoa Arusha wamehama CCM na kuhamia CHADEMA.
Tukio hilo limetokea Monduli Mjini wakati viongozi hao walipokusanyika na kutoa kauli ya kuhama CCM na kuhamia CHADEMA huku wakieleza sababu zinazowafanya kufikia uamuzi huo.
Kwa upande wao Mwenyeviti wa Serikali za mitaa Wajumbe wa nyumba wameitaka jamii itambue kuwa huo ni uamuzi wao binafsi na hauhusiki na shikizo la mtu yeyote kama inavyo daiwa na baadhi ya watu kila wanaohama wameshinikizwa.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment