Shirika la maendeleo la umoja wa mataifa la UNDP limesema
misaada ya maendeleo nchini itakayotolewa na shirika hilo katika mwaka
huu wa fedha itaelekezwa katika miradi itakayotoa nafasi nyingi za ajira
kwa vijana.
Akizungumza jijini DSM kwenye mkutano wa wadau wa maendeleo wakiwemo wawakilishi kutoka mashirika ya kimataifa, kaimu mkurugenzi mkazi wa UNDP, AMON MANYAMA amesema misaada ya mashirika ya kimataifa italenga kuwasaidia vijana katika kujiajiri au kuajiriwa.

0 comments:
Post a Comment