Image
Image

Mzee MWINYI ashauri wasomi kutunga vitabu.

Rais mstaafu ALI HASSAN MWISHI amewataka wahadhiri katika taasisi ya elimu ya juu kutunga vitabu vya fani mbalimbali zikiwezo za masuala ya fedha na uchumi katika lugha ya Kiswahili ili kuleta maendelo nchini.
Akizindua vitabu viwili vilivyotungwa na wahadhiri wa chuo cha usimamizi wa fedha – IFM kwa kushirikiana na chuo kikuu cha GRONINGEN cha UHOLANZI, Mwinyi amesema vitabu vilivyoandikwa kwa lugha ya Kiswahili vitasomwa na watanzania wengi.
Vitabu hivyo ni Social economic dynamics kilichotungwa na mkuu wa chuo cha IFM Profesa GODWIN MJEMA na Msingi wa methodolojia ya utafiti kilichotungwa na Profesa Thadeo Satta.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment