Diof alifanya chini ya kocha wake Stewart na baadaye baada
ya wenzake kuondoka, aliungana na vijana wawili wa timu B na kwenda gym
akafanya mazoezi yake binafsi.Hapo alifanya ya viungo tofauti kwa kutumia
mashine na bila mashine.
Alisema, anapenda kufanya mazoezi mengi kutokana na kile
anachokiamini kuwa, ndiyo siri ya mafanikio.
Diof ni beki mpya wa kimataifa wa
Azam FC ambaye amesajiliwa hivi karibuni


0 comments:
Post a Comment