Image
Image

Fat Joe,Eminem alinifata mara 6 kabla hajaenda kwa Dr Dre.

Rapa Fat Joe anasema kila siku anajilaumu kwanini hakumpa lebel Eminem baada ya kusiki demo zake. Bosi wa Terror Squad anasema wakati Eminem anataka kutoka alimletea demo zake asikilize.
Fat Joe spoke with South China Morning Post about his music career and details not signing Eminem.
Eminem alinifata mara sita na sikumpa lebel na kila mara aliniletea kazi mpya. Eminem aka Marshall Mathers alipewa lebel na producer  Dr. Dre kupitia Aftermath Entertainment mwaka 1998.
Fat Joe anaendelea kusema Eminem ange saini na mimi asingekuwa rapa mkubwa kwa haraka hivyo kama alivyo saini na Dr Dre. Aftermath walifanya kazi nzuri zaidi.”
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment