Kesi ya uhalifu dhidi ya binadamu,uhalifu wa kivita na mateso inayomkabili rais wa
zamani wa Chad Bwana HISSENE HABRE inaanza kusikilizwa leo.
Kesi hiyo inaanza siku 45 baada ya mawakili watatu walioteuliwa kupata muda wa kutosha
kuiangalia upya kesi hiyo lakini mteja wao mwenyewe hawatambui na amekataa kuwasiliana
nao.
Mahakama sasa itaamua iwapo kesi hiyo iendelee bila upande wa utetezi na tangu kuanza
kwa kesi yake rais huyo wa zamani wa Chad mwenye umri wa miaka 72 hajawi kujibu swali
lolote mahakamani.
Amekuwa anakataa kutambua uhalali wa mahakama maalum ya Afrika, ambayo iliundwa na Umoja wa Afrika mwaka 2013, ili kushugulikia kesi yake nchini Senegal.
Home
Kimataifa
Kesi ya uhalifu dhidi ya binadamu inayo mkabili rais wa zamani wa CHAD kusikilizwa Leo.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)


0 comments:
Post a Comment