MWANA hip hop, George Mdeme ‘G. Nako’ kutoka kundi la Weusi,
anatarajia kuachia video ya wimbo wake wa ‘Laini’ hivi karibuni akiwa
ameshirikiana na msanii mwanzake, Nickson Simon ‘Niki wa Pili’.
“Wimbo huu niliufanyia chini ya prodyuza Nahreel, nataraji kufanya
video yake wakati wowote nina imani ni wimbo mzuri na utakubalika vema
na mashabiki wangu kama walivyopokea nyimbo zangu zilizotangulia,’’
alisema.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)


0 comments:
Post a Comment