Image
Image

Mama Samia awasha moto jimbo la Temeke DSM.

Mgombea Mwenza wa Urais kwa timeti ya CCM, Mama Samia suluhu Hassam akihutubia umati wa wananchi katika mkutano wa kampeni aliofanya jana, Septemba 3, 2015 katika Kata ya Buza jimbo la Temeke mkoani Dar es Salaam.
Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,Mama Samia akishangiliwa na wananchi baada ya kuwasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye kata ya Buza jimbo la Temeke mkoani Dar es Salaam, Septemba 3, 2015.
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhai Madabida akimkaribisha mgombea Mwenza wa urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, kuhutubia mkutano wa kampeni uliofanyika kata ya Buza, jimbo la Temeke katika mkoa huo.
Mgombea ubunge wa Temeke Abbas Mtemvu akiomba kura baada ya kunadiwa na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,Mama Samia katika mkutano wa kampeni uliofanyika Kata ya Buza katika jimbo hilo, septemba 3, 2015.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akimwelekeza jambo mgombea Ubunge jimbo la Temeke Abass Mtemvu wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kata ya Buza katika jimbo hilo, septemba 3,2015.
Shamrashamra za wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni za mgombea mwenza wa urais kwa tiketi ya CCM katika kata ya Buza jimbo la Temeke.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia akiwatuza vijana wakundi la Fataki, baada ya kutumbuiza kwa ngonjera zao wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika kata ya Buza jimbo la Temeke mkoani dar es Salaam.









Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment