Image
Image

MUSEVENI awataka wanachama wa EAC kutumia nyenzo zao kuimarisha usalama wa ukanda huo.

Rais YOWERI MUSEVENI wa Uganda ametaka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kutumia vya kutosha nyenzo zao katika kuimarisha kwa pamoja usalama wa ukanda huo.
Amesema aina hiyo ya uwekezaji ilikuwa sehemu muhimu katika juhudi zinazolenga kulinda
matunda ya utangamano yanayotafutwa na nchi za ukanda huo.
Bwana MUSEVENI alikuwa akizungumza wakati wa uzinduzi wa jukwa la vingozi wa nchi
wanachama wa Mamlaka ya Ukanda wa Maziwa Makuu.
Alisema juhudi za utangamano katika ukanda huo lazima ziende sambamba na kuimarishwa kwa usalama katika ukanda huo wenye migogoro mingi hasa yenye misingi ya kikabila
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment