Siku
moja baada ya aliyekuwa katibu mkuu wa chama cha Demokrasia na maendeleo-CHADEMA-
Dokta Willbroad Slaa kutangaza rasmi kuhachana na siasa za vyama vya siasa
baada ya kutofautiana na viongozi wenzake ndani ya chama chake cha CHADEMA
inaelezwa kuwa kiongozi huyo amekwea Pipa kuelekea U.S.A.
Stail ya kuzungumza na kuondoka nchini
imefanana na ile ya Pof. Lipumba ambayo mara baada ya kufanya press conference
na waandishi wa habari naye alikwea pipa.




0 comments:
Post a Comment