Akithibisha
kutokea kwa tukio hilo kamanda wa jeshi la Polisi mkoani Kagera Agustine Ollomi
amesema majambazi hao walikuwa wakitokea wilayani Kibondo mkoani kigoma
wakieleka wilayani kahama ambapo jeshi hillo liweka
mtego wake na majambazi hao walifanikiwa lukimbia kusiko julikana na na kuacha
silaha hizo pamoja na mabomu manne waliyokuwa wakitaka kufanyia uharifu ambapo walikimbia
kusikojulikana nakwamba jeshi la polisi
linaendelea na msako wakuwatafuta majambazi hao.
Kamanda wa jeshi la polisi mkoani
kagera amesema kwa sasa jeshi la polisi linaendelea kuimarisha ulinzi wakutosha
na kuhakikisha linadhibiti matukio ya ujamabazi wa kutumia silaha za moto hasa
katika kipindi hiki gumu cha kuelekea uchaguzi mkuu.




0 comments:
Post a Comment