Image
Image

Pope FRANCIS awaruhusu mapadri wote kusamehe utoaji mimba katika kipindi cha Jubilii.

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Pope FRANCIS amewaruhusu mapadri wote kusamehe
utoaji mimba katika kipindi cha Jubilii ya Mwaka kuanzia mwezi Desemba hadi Novemba
mwakani.
Amesema wanawake wengi waliotafuta kutolewa mimba walifanya hivyo kwa sababu wanaamini
hawakuwa na njia nyingine mbadala ya kufanya hivyo.
Katika Ukatoliki utoaji mimba unahesabiwa kuwa ni dhambi kubwa ambayo inaadhibiwa kwa
wahusika kutengwa.
Katika nchi nyingi ni askofu tu anaweza kutoa msamaha kwa ajili ya utoaji mimba na
kukasimu padri mtaalamu kusikiliza toba ya mhusika.

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment