Image
Image

Rais ZUMA alaumu mataifa ya ulaya kwa kusababisha msongamano wa wakimbizi kutoka bara la Afrika.

Rais JACOB ZUMA wa Afrika ya Kusini ametaka kuungwa mkono katika kutetea Afrika iwe na kiti cha kudumu kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
Akihutubia mabalozi wote wa mataifa ya kigeni walioko Afrika ya Kusini amesema bara la
Afrika lenye zaidi ya watu bilioni moja ni linastahili kuwa na kiti cha kudumu katika
bara hilo. 
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ndiyo chombo chenye nguvu zaidi katika masuala
mbali mbali duniani yaliyoko chini ya kivuli cha Umoja huo.
Rais ZUMA pia aliyalaumu mataifa ya Ulaya kwa kusababisha msongamano wa wakimbizi kutoka bara la Afrika na Mashariki ya Kati wanaojaribu kuingia Ulaya.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment