Image
Image

Tanzania yatangaza hatua tano za kuendeleza haki za wanawake na usawa wa kijinsia.


Tanzaniayatangazahatuatanozakuendelezahakizawanawakenausawawakijinsia
·        Yaahidikufanyamabadilikomakubwayakiseranakisheria
·        MiongonimwaSheriazitakazohusikaniSheriayaNdoanaSheriayaUrithi
·        Ni katikautekelezajiwaMalengoyaMaendeleoEndelevu  - SDG’s
Tanzaniaimeahidikuchukuahatuatanomuhimuzakuteteteanakuendeleahakizawanawakekatiyasasanamwaka 2030,ikiwanipamojanakufanyamabadilikomakubwayakufutasheriazinazokandamizawanawakenakutungasheriazakuletausawawakijinsia, yotekatikautekelezajiwaMalengoyaMaendeleoEndelevu (SDG) mapyakwamanufaayawanawakewa Tanzania.
Miongonimwahatuahizoitakuwanipamojanakufutaamakufanyamabadilikoambayoyanaendelezavitendovyakiutamaduniambavyokwavyovinaendelezaubaguziwawanawakekama vile SheriayaNdoa, SheriayaUrithinakutungaSheriayaKukomeshaUkatilidhidiyawanawake.
Msimamohuowa Tanzania umeelezwaJumapili, Septemba 27, 2015 naRaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania, MheshimiwaJakayaMrishoKikwetealipozungumzakatikaMkutanowaUsawawaJinsianaUwezeshajiwaAkinamama: DhamirayaKuchukuaHatuauliohudhuriwanawakuuwanchimbalimbalidunianikwenyeMakaoMakuuyaUmojawaMataifa (UN) mjini New York, Marekani.
RaisKikweteameuambiamkutanohuoulioitishwakwapamojanaJamhuriyaWatuwa China, Denmark, Mexico na Kenyakuwahatuayapiliambayo Tanzania inakusudiakuchukuanikuridhiamakubalianoyoteyakimataifakuhusuhakizaakinamamahasaMakubalianoyaKimataifaJuuyaKukomeshaAinaZotezaUbaguziDhidiyaWanawake – Convention on the Elimination of All Forms of Discrimination Against Women (CEDAW).
HatuanyingineambazoRaisKikweteamesemakuwa Tanzania itachukuakatikamiaka 15 ijayoilikuhakikishausawawakijinsianchininizifuatazo:     KuendelezanakuungamkonoupatikanajiwaraslimalifedhazinazolengakuongezausawawakijinsiakwamujibuwaAjendayaKugharimiaMaendeleoya Addis Ababa,ikiwanipamojanakuhakikishazinatolewapesazakutekelezamipangoyakitaifanayaSerikalizamitaazakukomeshaukatilidhidiyawanawake.
·        Kuhakikishautekelezajiwauwakilishiwauongoziwaasilimia 50-50 katiyawanawakenawanaumekatikanafasizotezamaamuzikwenyengazizote.
·        Kupatikananakutumiwakwa data nahabarizaukwelikatikautunziwa sera nautoajimaamuziyakukomeshaubaguziwakijinsia.
·        KutunganautekelezajimfumowauwajibikajinaufuatiliajiwahakizakijinsianahakizaakinamamazilizokubaliwakitaifanakwenyengaziyaSerikalizamitaa.
RaisKikwetepiaamewaambiawajumbewamkutanohuokuhusuhatuazakiseranakisheriaambazozimechukuliwana Tanzania katikamiakayakaribunikujengausawawakijinsia,ikiwanipamojanaSheriayaArdhiyamwaka 1999 namarekebishoyakeyamwaka 2004 ambayoyanawapaakinamamanafasinahakiyakupata, kushikilia, kutumianakumilikiardhi.
Hatuanyinginenikuwapawanawakenafasizamaamuzinauongozikatikanyanjazakisiasanamaishayaumma. Katikakutekelezahilo, idadiyawabungewanawakeimeongezekakutokaasilimia 21.5 yawabungewotemwaka 2005 hadikufikiaasilimia34.5 mwakahuu, mawaziriwanawakewameongezekakutokasitamwaka 2005 hadikufikia 26 mwakahuunaidadiyamajajiwanawakeimeongezekakutokawananemwaka 2005 hadikufikia 41 mwakahuu.
RaisKikweteamesemakuwahatuanyinginezilizochukuliwanaSerikalinikupunguzavifovyawanawakewakatiuzazi, kutungaSheriadhidiyaukatiliwakijinsianaukatilidhidiyawanawakenawatoto; kuanzishwakwauandaajiwaBajetiinayotiliamaananimahitajiyawanawakenakuongezauwezekajiwakiuchumiwaakinamamakupitiakuanzishwakwaBenkiyaWanawake Tanzania (TWB) yenyekulengakutoamikopoyamashartinafuukwaakinamamawafanyaobiasharandogondogonazakati.
Imetolewana:
KurugenziyaMawasilianoyaRais,
Ikulu,
DAR ES SALAAM.
28 Septemba, 2015

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment