WAKATI Kampeni za
Uchaguzi Mkuu zikiwa zinaelekea ukingoni, tunawakumbusha wafuasi wa vyama na
wagombea mbalimbali kutambua kwamba uchaguzi huu ni fursa ya wananchi kufanya
uamuzi wa nani wanataka kumchagua awe kiongozi wao.
Kampeni ni sehemu tu ya njia za kuwashawishi wananchi kuweza kukichagua na
kukipa dhamana chama au mgombea wanayedhani anawafaa kwa mujibu wa mahitaji
yao. Kwa mujibu wa ratiba ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), mwisho wa kampeni
ni Oktoba 24, saa 12 jioni. Baada ya hapo, ni wajibu wa raia waliojiandikisha
kupiga kura kutekeleza haki yao ya kuchagua kiongozi wanayemtaka.
Ni wazi kwamba ushawishi wa vyama vya siasa utaishia siku hiyo, na baada ya
hapo litakuwa jukumu la NEC kuhesabu na kutangaza washindi katika nafasi
mbalimbali zilizokuwa zikiwaniwa katika uchaguzi huo.
Katika kampeni zinazoendelea kuna viashiria vya baadhi ya vyama vya siasa
kuandaa,ama kwa kujua au kutokujua,wafuasi wao kukataa matokeo ya uchaguzi.Tunapenda kuvikumbusha vyama hivi kujitahidi kuepuka kutengeneza mazingira hayo
kwa wafuasi wao, kwa kuwa kufanya hivyo hata bila ushahidi wa namna gani wataibiwa
kura, ni kutaka kuleta vurugu na kutishia kuvunja amani.
Ni wazi kwamba uchaguzi wa mwaka huu una ushindani mkubwa kuliko tulivyowahi
kushuhudia katika uchaguzi wowote tangu tuanze mfumo wa vyama vingi.Bila shaka
ushindani huu ni kielelezo cha kukua kwa demokrasia nchini kwetu.
Ukuaji huo wa demokrasia lazima uende sanjari na ukomavu wetu wa kisiasa, hasa
kuonyesha kuvumiliana katika mazingira ya ushindani mkubwa kama
tunayoyashuhudia sasa. Kielelezo cha kukua kwa demokrasia kisiwe tu katika
ushindani tunaouona, kukua huku kunatakiwa kujidhihirishe pia katika
kukubaliana na matokeo yatakayotokea hata kama hatutayapenda, lakini wenye nchi
yao watakuwa wameamua hivyo.
Kwa sababu pamoja na kukua huko kwa demokrasia na ushindani tunaouona, hatimaye
mshindi atakuwa mmoja tu. Hata kama kuna ushindani na mwamko wa kisiasa mkubwa
kiasi gani, hatima yake itaishia kupata mshindi mmoja. Hili ndilo jambo ambalo
vyama vyetu hasa vyenye ushindani mkubwa, vinaonyesha kutojiandaa nalo, na
vivyo hivyo kwa wafuasi wao.
Ni wito wetu kwamba wakati tunafurahia ushindani huu unaoshiria kuimarika kwa
demokrasia nchini, ni muhimu kwa viongozi wa vyama na wafuasi wao kuonyesha
ukomavu huo wakati wa matokeo, kwamba kuna kushinda na kushindwa.
Tukifanya hivyo siyo tu tutakuwa tumeidhihirishia dunia ukomavu wa demokrasia
nchini, bali tutakuwa tumefanikiwa kulinda na kutetea amani,umoja na
mshikamano kama taifa.
WAKATI
Kampeni za Uchaguzi Mkuu zikiwa zinaelekea ukingoni, tunawakumbusha
wafuasi wa vyama na wagombea mbalimbali kutambua kwamba uchaguzi huu ni
fursa ya wananchi kufanya uamuzi wa nani wanataka kumchagua awe kiongozi
wao.
Kampeni ni sehemu tu ya njia za kuwashawishi wananchi kuweza kukichagua na kukipa dhamana chama au mgombea wanayedhani anawafaa kwa mujibu wa mahitaji yao. Kwa mujibu wa ratiba ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), mwisho wa kampeni ni Oktoba 24, saa 12 jioni. Baada ya hapo, ni wajibu wa raia waliojiandikisha kupiga kura kutekeleza haki yao ya kuchagua kiongozi wanayemtaka.
Ni wazi kwamba ushawishi wa vyama vya siasa utaishia siku hiyo, na baada ya hapo litakuwa jukumu la NEC kuhesabu na kutangaza washindi katika nafasi mbalimbali zilizokuwa zikiwaniwa katika uchaguzi huo.
Katika kampeni zinazoendelea kuna viashiria vya baadhi ya vyama vya siasa kuandaa, ama kwa kujua au kutokujua, wafuasi wao kukataa matokeo ya uchaguzi. Tunapenda kuvikumbusha vyama hivi kujitahidi kuepuka kutengeneza mazingira hayo kwa wafuasi wao, kwa kuwa kufanya hivyo hata bila ushahidi wa namna gani wataibiwa kura, ni kutaka kuleta vurugu na kutishia kuvunja amani.
Ni wazi kwamba uchaguzi wa mwaka huu una ushindani mkubwa kuliko tulivyowahi kushuhudia katika uchaguzi wowote tangu tuanze mfumo wa vyama vingi. Bila shaka ushindani huu ni kielelezo cha kukua kwa demokrasia nchini kwetu.
Ukuaji huo wa demokrasia lazima uende sanjari na ukomavu wetu wa kisiasa, hasa kuonyesha kuvumiliana katika mazingira ya ushindani mkubwa kama tunayoyashuhudia sasa. Kielelezo cha kukua kwa demokrasia kisiwe tu katika ushindani tunaouona, kukua huku kunatakiwa kujidhihirishe pia katika kukubaliana na matokeo yatakayotokea hata kama hatutayapenda, lakini wenye nchi yao watakuwa wameamua hivyo.
Kwa sababu pamoja na kukua huko kwa demokrasia na ushindani tunaouona, hatimaye mshindi atakuwa mmoja tu. Hata kama kuna ushindani na mwamko wa kisiasa mkubwa kiasi gani, hatima yake itaishia kupata mshindi mmoja. Hili ndilo jambo ambalo vyama vyetu hasa vyenye ushindani mkubwa, vinaonyesha kutojiandaa nalo, na vivyo hivyo kwa wafuasi wao.
Ni wito wetu kwamba wakati tunafurahia ushindani huu unaoshiria kuimarika kwa demokrasia nchini, ni muhimu kwa viongozi wa vyama na wafuasi wao kuonyesha ukomavu huo wakati wa matokeo, kwamba kuna kushinda na kushindwa.
Tukifanya hivyo siyo tu tutakuwa tumeidhihirishia dunia ukomavu wa demokrasia nchini, bali tutakuwa tumefanikiwa kulinda na kutetea amani, umoja na mshikamano kama taifa. - See more at: http://www.raiamwema.co.tz/tuonyeshe-ukomavu-kidemokrasia#sthash.uLCVW3ej.dpuf

0 comments:
Post a Comment