Wahamiaji ambao walikuwa wakisubiria katika vituo vya treni mjini Budapest nchini Romania walipatiwa basi za kusafiria na serikali ya nchi hiyo. Kwa kutumia mabasi hayo wahamiaji hao walivuka mpaka na kuingia nchini Austria.
Wahamiaji hao pia walipata ulinzi kutoka kwa polisi wa Romania ambao waliwasindikiza katika safari yao ya usiku.
Polisi wa Austria walisaidia katika kuwasajili wahamiaji walioingia nchini humo.


0 comments:
Post a Comment