Waziri mkuu wa Uingereza David Cameron juma lililopita alitangaza
kuwa na mpango wa kupeleka vikosi vya jeshi 70 na wataalamu wa kutoa vifaa
vya matibabu na uhandisi katika kutoa msaada kupitia kikosi cha kulinda
amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia.
Aidha lengo lingine la kupelekwa kwa kikosi hicho ni kupambana na wanamgambo
wa Al shabaab.
Hata hivyo wanamgambo wa Al shabaab wameonyesha kuchukizwa
na uamuzi wa Uingereza.
Msemaji wa Al shabaab Sheikh Ali Mohamud aliahidi
kwamba watapambana vikali na vikosi hivyo.
0 comments:
Post a Comment