Image
Image

Breaking News:Makontena 9 yanaswa na Polisi yakivushwa Tanki Bovu jijiniDar es Salaam.


Jeshi laPolisi jijini Dar es Salaam kwa kushirikiana na mamlaka ya mapato nchini TRA wanashikilia makontena tisa ambayo bado hayajajulikana yamebeba nini ndani yake toka jana usiku katika eneo la mbezi tank bovu lilopo manispaa ya kinondoni.
Kwa mujibu wa maafisa wa TRA wameshikilia makonteana hayo kutokana na kutilia mashaka uhamishaji wake huku wanaohusika na makontena hayo ambao ni HARITAGE EMPER wamesema watatoa ufafanuzi juu ya makonteana hayo baadaye.
Nitakuletea walichosema,fuatilia taarifa zetu,Like page yetu kuwa mwanafamilia.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment