Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki zimeshauriwa kuhamasisha matumizi ya Kiswahili hatua itakayosaidia kuwaunganisha wananchi walioko vijijini na kuwawezesha kutambua fursa walizonazo kukuza vipato vyao na kuondokana na umasi kini .
Akizungumza na baadhi ya watendaji wa jumuiya hiyo Jijini Arusha mtaalam wa Kiswahili kuto ka Tanzania,HEZEKIEL GIKAMBA amesema lugha hiyo ina nafasi kubwa ya kupunguza migogoro baina ya ma kabila .
Kwa upande wao wataalam kutoka nchi nyingine wanachama ikiwemo Kenya wamesema tatizo la lugha pia linasababisha kuwepo kwa tabaka la wasomi na makundi mengine jambo lnalosababisha wananchi wa kuendelea kuona kuwa j umuiya ni kwa ajili ya viongo zi pekee yao.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment