Ugonjwa huu husababishwa na virusi viitwavyo 'varicella-zoster ' na mhusika huweza kuwaambukiza wengine endapo atagusana na mtu ambaye hajaathirika au hata kupitia njia ya hewa pia.
Kwa kawaida mtu ambaye amepatwa na maambukizi ya ugonjwa huu huweza kuona dalili ndani ya siku 10 hadi 21 ambapo ngozi huanza kutoka kama vipele au vipele vidogo vidogo.
Asali ni moja ya kimiminika ambacho kinauwezo mzuri sana wa kutatua tatizo hili la tetekuanga. Kitu unachopaswa kufanya ikiwa unasumbuliwa na tatizo hili ni kupaka sehemu husika asali yenye ubora kabisa yaani asili.
Unapaswa kupaka asali hiyo mara kwa mara hadi pale utakapoona mabadiliko ya tatizo lako.
0 comments:
Post a Comment