Mgogoro wa kimaslahi baina ya viongozi na
wafanyakazi wa maduka ya uchumi nchini Tanzania unaelekea kupatiwa ufumbuzi
kufuatia ufafanuzi wa maelezo ya wizara ya kazi na ajira kuwa linafanyiwa kazi
baada ya suala la wafanyakazi zaidi ya 460 waliokua wakifanyakazi katika maduka
ya uchumi kukusanyika makao makuu ya kampuni hiyo wakiziomba mamlaka husika
ziweze kuwasaidia kupata haki zao ikiwepo mishahara ambayo hawajapewa tangu
maduka hayo waliyokua wakifanyia kazi yalipofungwa.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment