Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania wa awamu ya tano Dkt.John Pombe Magufuli amefuta siku ya
Maadhimisho ya Sherehe za Uhuru zilizokuwa zikifanyika kila Disemba 9 ya kila
mwaka na kupoteza fedha nyingi na badala yake siku hiyo itumike rasmi kwa
watanzania nchi nzima kufanya usafi ili kukabiliana na Ugonjwa wa kipindupindu
ambao umepoteza watu wengi kwa kufariki duni.
Amesema kuwa fedha ambazo
zingekuwa zikitumika siku hiyo ya Uhuru zitatumika kwenye shughuli zingine za
kujenga taifa kwa kuwa hakuna sababu sana za siku hiyo ya sherehe za uhuru
kutumia fedha nyingi angali familia zikiwa zinateseka bila kupata mahitaji
mbalimbali na wengine kuugua .
Taarifa hizo zimeelezwa
na Katibu mkuu kiongozi Ombeni Sefue ju ya tamko hilo la Rais wa Tanzania.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment