Marekani imeonya kuwa amri ya Rais PIERRE NKURUNZIZA wa B urundi kutaka watu wenye silaha haramu kuzisalimisha ndani ya situ tano au kuhesabiwa maadui wa taifa huenda ikazusha machafuko mapya.
Balozi wa Marekani kwenye Umoja wa Mataifa Bi SAMANTH POWER amesema amri hiyo inaweza katika siku chache zijazo kuzusha umwagaji damu mkubwa zaidi katika nchi hiyo.
Jumatatu wikii hii Rais NKURUNZIZA aliagiza kufikia kesh o watu wenye silaha haramu wawe wamezisalimisha kwa hiari viginevyo watahesabiwa kuwa n i maadui wa taifa na kukabiliwa ipasavyo.
Burundi iliyoibuka miaka kumi iliyopita kutoka kwen ye vita vya wenyewe kwa wenyewe ilitumbukia tena kwenye machafuko kuanzia Aprili m waka huu kufuatia hatua yake ya kuwania muhula wa tatu.
Home
Kimataifa
Marekani yaonya kauli za tata kutoka kwa rais NKURUNZIZA kuwa huenda zikasababisha machafuko.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment