Mtoto aliyenusurika ajali ya ndege ya Sudan ya Kusini iliyoua watu 36 ameanza kupata fahamu na kuwatambua jamaa zake.
Mtoto huyo msichana mwenye umri wa miezi 14 anapata matib abu katika hospitali kuu ya mji mkuu wa Sudan Kusini, Juba na alikuwa miongoni mwa w atu wawili walionusurika katika ajali hiyo.
Chanzo cha ajali hiyo hakijabainika lakini watengenezaji wa ndege hiyo ya Urusi wanasema ndege hiyo ilikuwa katika hali mbaya haikufaa kwa safari.
Ndege
hiyo ilianguka muda mfupi baada ya kuruka kut oka uwanja wa kimataifa
Juba na ilikuwa inaelekea Paloch, jimbo la Upper Nile na kuanguka
kwenye ukingo wa Mto Nile.
Home
Kimataifa
Mtoto aliyenusurika ajali ya ndege ya Sudan ya Kusini aanza kupata nafuu na kutambua jamaa zake.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment