Image
Image

Unavidonda vya tumbo? Tango linaweza kukupa ahueni ya tatizo hilo.

Tango ni mojawapo ya tunda ambalo watu wengi huwa hawalihesabu sana kama ni miongoni mwa matunda labda kutokana na kutokuwa na ladha sana.
Lakini pamoja na hayo tunda hili linasifika zaidi kwa kuwa na uwezo katika tiba ya matatizo mbalimbali ya kiafya ikiwa ni pamoja na tatizo la vidonda vya tumbo.
Aidha, pamoja na kuwa na uwezo  huo pia tunda hili limekuwa likipata sifa sana kwa kuimarisha afya ya ngozi pale ambapo mhusika atatumia kusugulia usoni.
Hata hivyo tunda hili linapotengenezwa juisi huwa ni msaada mzuri sana kwani huusaidia mwili kuweza kufanya kazi yake vizuri.
Pamoja na hayo inashauri kujenga utamaduni wa kula tunda hili mara kwa mara hata kama halina ladha ya utamu au sukari kwani tunda hili pia huwasaidia wale wenye matatizo ya viungo kuuma 'rheumatism' na kuondoa 'uric acid mwilini'
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment