Mahakama ya hakimu mkazi kisutu jijini Dar es Salaam
imefuta kesi iliyokuwa inamkabili aliyekuwa mwenyekiti wa chama cha wananchi
CUF Prof.Ibrahim Lipumba na wenzake 30.
Mwendesha mashtaka wa serikali amewasilisha hati
mahakamani hapo inayoeleza kuwa mwanasheria mkuu wa serikali hana nia tena ya
kuendelea kesi hiyo.
Profesa lipumba na wenzake 30 walikuwa wameshtakiwa
kwa kosa la jinai la kufanya mkusanyiko usio halali kwa mujibu wa sheria za
nchi mnamo januari 22 na 27 maeneo ya Temeke jijini Dar es Salaam.
Endelea kufuatilia Taarifa zetu kufahamu zaidi,Like
Page yetu uwe wakwanza kupata habari.
0 comments:
Post a Comment