Sakata la ukamatwaji wa makontena 9 katika eneo la
Mbezi Tank Bovu jijini Dar es Salaam hatimaye limeingia katika sura mpya baada
ya mkurugenzi wa elimu kwa mlipa kodi kutoka mamlaka ya mapato nchini TRA
Rachard Kayombo kulitolea ufafanuzi juu ya kukamatwa kwa makontena ambapo mpaka
sasa hivi Makontena hayo pamoja na madereva walikuwa wanasafirisha yako chini
ya ulinzi mpaka wahusika watakapojitokeza.
Amesema kuwa kwakuwa muhusika bado hajajitokeza
wanampa Saa 24 za mmiliki wa makontena hayo kujitokeza ili ukaguzi uanze mara
moja kwa mujibu wa sheria na kuangalia kilichomo kama kuna mali ya halali ama
la na endapo atakaidi agizo basi sheria itachukua nafasi na kukagua kilichomo
na hivyo kutaifisha mali hiyo.
Mkurugenzi wa elimu kwa mlipa kutoka TRA,anaelezea
hatua walizonazo,Like Page yetu na toa maoni yako tutafanyia kazi.
0 comments:
Post a Comment