Image
Image

Polisi nchini Thailand wanachunguza wanamgambo kumi wa IS kuingina nchini humo.

Polisi nchini Thailand wanachunguza ripoti kuwa wanamgambo kumi kutoka kundi la wapiganaji wa Islamic state wameingia nchini humo na wanapanga kushambulia sehemu zinazomilikiwa na Urusi.
Shirika la habari nchini urusi la FSB linaamini kuwa kundi hilo limesafiri kutoka nchini Syria.
Sita kati yao wanaripotiwa kuelekea maeneo ya kifahari ya Pattaya na Phuket huku wengine wakiwa hawajulikani waliko.
Polisi nchini Thailand wanasema kwa hawajafanikiwa kuthibitisha uwepo wa raia hao wa Syria. Zaidi ya watu milioni moja unusu raia wa Urusi walizuru Thailand mwaka 2013.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment