Image
Image

Rais.Magufuli afanya usafi feri jijini Dar es Salaam.

HAPA KAZI TU ya  Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. John Pombe  Joseph
Magufuli  ikiendelea kufanyiwa kazi kama Rais  huyo akionekana katika
picha akiwa sambamba na mkewe Mama Janeth Magufuli,wakishiriki kufanya usafi leo ndani na nje viunga vya Ikulu ikiwemo pia soko la Samaki Feri,ambako alipata wasaa kuwasikiliza wachuuzi wa samaki na wavuvi.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
pamoja na Mama Janeth Magufuli wakielekea eneo la ufukwe wa Ferry
kufanya usafi katika maadhimisho ya Siku ya Uhuru tarehe 9 Desemba.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizoa taka katika eneo la ferry jijini Dar es Salaam.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizoa taka katika eneo la ferry jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka  taka ndani ya ndoo ya Taka katika eneo la Magogoni jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kulia akiwa pamoja na Mke wake Mama Janeth Magufuli wakifanya usafi katika eneo la  ufukwe wa ferry jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka  taka taka kwenye dastibin wakati akifanya zoezi la kufanya usafi katika  eneo la ufukwe wa Ferry jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiokota takataka katika eneo la Ferry katika zoezi la kufanya usafi nchi nzima.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiokota  takataka katika eneo la Ferry katika zoezi la kufanya usafi nchi nzima

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wavuvi wa ferry huku akiwa ndani ya Mtumbwi. Rais Magufuli  alizisikiliza kero zao na kuahidi kuzitatua ndani ya muda mfupi. 


Rais Magufuli akifanya usafi pamoja na wavuvi wa eneo la ferry waliojitokeza
kuungamkono zoezi hilo. Rais Magufuli amewataka Watanzania kuwa na
Utamaduni wa kufanya Usafi kila wakati ili kuweka mazingira katika hali
nzuri. PICHA ZOTE NA IKULU
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment