Image
Image

Unafahamu kitunguu nikiboko cha ugonjwa wa Pumu?.

Pumu ni miongoni mwa magonjwa sugu ya hewa yanayosumbua idadi kubwa ya watu duniani na hasa watoto, huku idadi ya wanaokabiliwa na tatizo hili ikionekana kuongezeka siku hadi siku.
Hali hiyo ya tatizo la upumuaji hujitokeza kutokana na kubana kwa mirija ya hewa kunakotokana na kubadilika kwa utendaji kazi wa viungo hivyo kunakosababishwa na kuchochewa na kitu kilichoingia kutokea nje inawezekana ni hewa chafu, vumbi au chavua ambacho huchochea kuundwa kwa sumu katika mwili wa mhusika,
Hata hivyo, huwa kuna uwezekano wa kitu hicho hicho kutokuwa na madhara kwa mtu mwingine endapo kitaingia katika mirija yake ya hewa anapopumua. Hali hiyo ndiyo hujulikana kama mzio au (allergy).
Mara nyingi ugonjwa huu wa pumu huweza kutokana na njia ya kurithi na hasa kwa wale watu wenye matatizo ya mzio (allergy).
Mhusika mwenye tatizo la pumu huweza kupata ahueni kwa kutumia kitunguu maji na kinachofanyika ni mhuika kupata vipande kadhaa vy kitunguu na kutafuna kwani husaidia sana kuachia kwenye mishipa ya njia ya hewa

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment