Juisi ya Machungwa. Aina hii ya juisi mbali na kuwa
na ladha nzuri lakini pia ina faida ndani ya mwili kwani ina kirutubisho
kiitwachio antioxidants.
Pia ndani ya juisi ya chungwa kuna vitamin C nyingi ambayo ni nzuri kwa afya ya ngozi,ukuaji wa mifupa pamoja na kuboresha mzunguko wa damu vizuri ndani ya mwili.
Juisi ya Nyanya Juisi hii nayo inaumuhimimu wake ndani ya miili yetu kwani ina vitamin E ambayo ni nzuri pia kwa afya ya ngozi, lakini pia juisi hii ni nzuri sana kwa shinikizo la chini la damu lakini pia husaidia kuimarisha kinga za mwili.
Juisi ya Karoti. Karoti ni mojawapo ya juisi bora kwa afya kutokana na kuwa na vitamin A nyingi sana pamoja na vitamin B na madini kama vile 'calcium' iron, magnesium, sodium. Hivyo virutubisho vyote ni muhimu sana kwa mwili.
Juisi ya Apple Apple ni mojawapo ya tunda ambalo ni zuri hivyo hata juisi yake pia ni nzuri kwa afya. Juisi ya tunda hii ni nzuri kwa afya ya moyo.
Unapokunywa glasi moja ya juisi ya apple kila siku inamaana unakuwa unaimarisha afya ya moyo wako kwani husaidia kupunguza kiwango cha 'cholesterol' kwenye mishipa ya damu, lakini pia apple lina kiasi kingi cha nyuzinyuzi pamoja na vitamin C.

0 comments:
Post a Comment