Magereza yamethibitisha kuwa rapa Gucci Mane anatoka
jela March 6 2017. Taarifa hizi awali zilisamba baada ya lebel ya 1017 Records
kutangaza kuwa Gucci Mane anatoka jela March 6, 2017.
Gucci Mane alikubali makosa ya kukutwa na silaha
zaidi ya moja bila kibali cha kuzimiliki mwaka 2014.
Gucci anakaa jela kwa muda wa miezi 39 na amefungwa
toka 2014 kwenye jela ya Indiana federal prison.
0 comments:
Post a Comment