Msanii kutoka Nigeria Tekno akerwa na comments za
mashabiki kutoka Tanzania kuhusu urafiki wake na mwigizaji Lulu.
Staa wa muziki kutoka Nigeria Tekno ameonekana
kukerwa na comment za Rest In Peace za mashabiki wa Tanzania kwenye kurasa yake
ya Istagram.
Tekno anasema watu hawana haki ya kuhukumu maisha ya
Lulu na kwamba sio sawa watu kuandika RIP kwenye kurasa yake.
Tekno ameonekana kutoshangazwa na taarifa za baadhi
ya wapenzi wa Lulu kufariki.
0 comments:
Post a Comment